Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: “Mimi naishi maisha yangu sina team, Kolabo na Alikiba inawezekana”

on

Msanii Nay wa Mitego amezungumza kuhusu picha yake aliyopiga na muimbaji Alikiba huku ikiibua minong’ono ya chini kwa chini kuhusu wawili hao kuwahi kudaiwa kutokuelewana ambapo Nay wa Mitego kasema yeye hana team bali anaishi maisha yake na anafanya kile anachokipenda.

Mtazame Nay wa Mitego akifunguka. PLAY video kuona.

 Polepole asema – “CCM hatupokei tena wabunge kutoka upinzani, waliobaki ni mzigo”

Soma na hizi

Tupia Comments