Video Mpya

VideoMPYA: Isikupite hii kutoka kwa Nancy Hebron inaitwa ‘Heri Heri’

on

Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Nancy Hebron ambaye pia ni Dada wa waimbaji wa muziki wa bongofleva, Vanessa Mdee na Mimi Mars anakukaribisha shabiki yake kuitazama video mpya ya wimbo wake wa ‘Heri Heri.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO hiyo na usisahau kumuachia komenti yako kuhusu wimbo huo.

Mengine yaibuka kuhusu Ruge, Rais JPM amchangia millioni 50

Soma na hizi

Tupia Comments