Videos

VideoMPYA: Baada ya kumaliza Beef Jaguar x Prezzo wametuletea wimbo wao

on

Baada ya Staa Prezoo kutangaza beef yake na Jaguar kuwa imeisha na sasa wamekuwa marafiki leo May 1, 2018 wasanii hao waliokuwa mahasimu wametuletea video yao mpya inaitwa ‘Timika’ ikiwa imetayarishwa chini ya studio za Main Swich.

Tazama hapa chini kwa kubonyeza PLAY

VIDEO: AUNTY EZEKIEL ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments