Top Stories

FURSA: Mrembo wa Arusha aliyetumia kinyesi kuwa Mkaa kafunguka

on

Siku ya leo November 10, 2018 wakazi wa Arusha wameshuhudia mdahalo wa kujadili fursa mbalimbali zilizopo na zinazoweza kupatikana Arusha kuhusu biashara, kilimo, ufugaji na elimu ambapo moja ya mkazi wa Arusha Glory Silayo amezungumza kuhusu kutumia fursa ya kugeuza kinyesi kuwa mkaa.

Bonyeza PLAY kumsikiliza akizungumza.

FURSA: Dkt Isaac Maro kaelezea Haja Kubwa inavyoweza kutumika kama Mbolea

VIDEO: RC Gambo kuhusu fursa za kitalii zilizopo mkoani Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments