Ad

AyoTV

VIDEO: Jux aeleza sababu za kwanini Diamond hampost Instagram…

on

Kazi yangu nikuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia mtu wangu na leo October 18 2016 ni hii stori kutoka kwa Jux ambae amefunguka kuhusu  sababu za kwanini Diamond Platnumz hapost kazi zake instagram.

Staa huyo ameipa heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea haya>>>’Kiukweli niongee ukweli ni kwamba sijawahi kumtumia cover ya wimbo wangu wala yeye hajawahi kunitumia cover ya wimbo wake mimi uwa nina list ya watu kadhaa kwenye simu yangu kuna baadhi ya wasanii ambao nipo nao karibu ninawatumia kwahiyo Diamond sijawahi kumtumia na kulalamika kwamba apost kazi zangu’

‘Mara ngapi umeona post moja inajirudi zaidi ya mara 10 au  mara 20 yaani sio vitu ambavyo fulani ajakupost  basi ndio ukasirike naomba kusema sijawahi kufanya hivyo na kwa upande wangu mtu anapostahili kupostiwa basi nitampost kwani huyo mtu anahitaji kupewa pongezi kafanya kitu fulani’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Jux akieleza sababu za kwanini Diamond ampost Instagram 

ULIIKOSA HAYA YA AFANDE SELE KUHUSU KUJIUNGA CCM BASI BONYEZA PLAY UMSIKILIZE ALICHOKISEMA

Soma na hizi

Tupia Comments