Habari za Mastaa

“Naishi comfortable life mimi siyo mtu wa kiki, nataka kusaidia models wachanga” Miriam Odemba

on

Model wa kimataifa kutokea nchini Tanzania Miriam Odemba amefanya mahojiano na AyoTV na millardayo.com na kuzungumza kuhusu sehemu ya mafanikio yake aliyopata kupitia maswala ya u-model ambapo sehemu ya mafanikio hayo ameeleza alivyopata dili la kuwa balozi wa Blackup duniani na hata kuweza kufungua foundation yake mwenyewe ya kusaidia wanawake.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

VIDEO: Miriam Odemba kafunguka kifo cha Ruge na Kibonde

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments