Habari za Mastaa

Chege kavunja ukimya, kaamua kufunguka ‘Mtu kama mimi najielewa, siwezi kukurupuka’

on

Baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo mkali kutokeaa TMK Chege Chigunda amekaa kwenye mahojiano na AyoTV na millardayo.com na kuzungumza kuhusu muziki wake na ujio wa ngoma yake mpya aliyomshirikisha Vanessa Mdee ambayo inatarajiwa kutoka siku ya leo April 25, 2019.

Chege pia ameongea kuhusu yale yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama CHEGE akifunguka.

MPAKA STUDIO KWA ABBAH, AONESHA ALIVYOZISUKA NGOMA ZA DARASSA, MARIOO NA WAKALI WENGINE

Soma na hizi

Tupia Comments