Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

Mwanzo mwisho alivyopatikana Miss Tanzania 2019 (+video)

on

Usiku wa August 23, 2019 mshindi wa Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth alikabidhi taji la umiss Tanzania kwa mshindi wa Miss Tanzania 2019, ambaye ni Silvia Sebastian.

AyoTV na millardayo.com zilikuepo kwenye shughuli hiyo ya kumtafuta Miss Tanzania na kufanikiwa kuyapata matukio muhimu yaliyojiri katika usiku huo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.

VIDEO: KUTOKA KWENYE RED CARPET YA MISS TANZANIA, MUANDAJI NA WAALIKWA WAZUNGUMZA 

Soma na hizi

Tupia Comments