Habari za Mastaa

Gardner – “Sijui nitawezaje kutangaza bila Kibonde’ (+video)

on

Mtangazaji wa Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi Gardner G Abash ambaye alikuwa akitangaza kipindi kimoja na marehemu Ephraim Kibonde amezungumza alivyoguswa na kifo cha rafiki yake na kumuelezea marehemu enzi za uhai wake walivyokuwa wakiishi.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA FULL VIDEO.

VIDEO: ISAAC MARO KASIMULIA HALI YA KIBONDE ILIVYOKUWA MPAKA KUFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments