Mix

VIDEO: Rais mpya Ghana alivyoiga hotuba ya Rais wa zamani wa Marekani

on

Rais mpya wa Ghana, Nana Akufo-Addo ameanza uongozi wake kwa kuzichukua headline kwenye mitandao ya kijamii baada ya jumamosi wakati akiapishwa kutoa hotuba ambayo sehemu yake imeonekana kufanana na hotuba ya Rais wa zamani wa Marekani, George Bush.

Hata hivyo mkurugenzi wa mawasiliano ofisi ya Rais wa Ghana ameomba radhi kwa kile kilichotokea. Unaweza kuitazama hapa chini

VIDEO: Mashamba yaliyonyang’anywa kwa vigogo kupewa vijana kwa masharti, Bonyeza play hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments