Habari za Mastaa

PICHA 20: Kutoka Mlimani City kwenye harambeee ya Tokomeza Zero ya DC Jokate

on

Usiku wa March 30, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo aliungana na wadau mbali mbali wakiwemo wasanii wa Bongofleva na Bongomovie kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya mabweni ya wasichana Kisarawe huku lengo likiwa ni kutimiza kauli mbiu yake ya Tokomeza zero kisarawe.

Shughuli hiyo ilifanyika katika kumbi za Mlimani city DSM na kudhuriwa na viongozi wa mbalimbali wa serikali na hata wa dini, Sasa millardayo.com inakusogezea matukio picha yaliyojiri katika shughuli hiyo, shuka chini kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments