Michezo

PICHA: FC Barcelona watakuwa na muonekano huu 2019/2020

on

Club ya FC Barcelona ya Hispania ikiwa ni wiki chache zimepita toka kumalizika kwa msimu wa 2018/2019, leo wametangaza jezi zao mpya watakazotumia katika mashindano mbalimbali kwa ajili ya msimu wa 2019/2020.

Barcelona wamezionesha jezi hizo mapema ikiwa ni pamoja na lengo la kutoa fursa kwa mashabiki wake kuanza kuzinunua mapema na kuiongezea club hiyo mapato, hata hivyo jezi za Barcelona kwa msimu huu zimebadilika kidogo hazina mistari na sasa zina draft.

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments