Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Mwanaume aliyezaa na Rose Ndauka aweka wazi chanzo cha kuachana ‘Sikuwa baba mzuri’

on

Maliki Bandawe maarufu kama Chiwambo ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Mwigizaji Rose Ndauka amezungumza kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wao na hata uhusiano waliona nao kwa sasa ukizingatia yeye na Rose walibahatika kupata mtoto moja wakati wa mahusiano yao.

Kupitia AyoTV na millardayo.com Chiwambo ameweka wazi kwa kusema kuwa yeye hakuwa baba mzuri kwa mtoto wake kutokana na mazingira yaliyokuepo kati yake na mama mtoto wake huku kusisitiza kuwa Rose hakuwahi kuwa mtu mbaya kwake wa kusababisha uhusiano wao uvunjike bali ni swala jingine ndiyo lililokuwa sababu ya wawili hao kuachana.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

UTACHEKA!! PIERRE AMPIGIA ALIKIBA LIVE VIDEO CALL AKIMUONESHA MOFAYA

VITUKO VYA PIERRE MPAKA NYUMBANI KWA OMMY DIMPOZ KAMPELEKEA MATUNDA

Soma na hizi

Tupia Comments