Michezo

Rais Magufuli kukutana na Wachezaji wa Taifa Stars leo Ikulu

on

Baada ya ushindi dhidi ya Cape Verde katika mashindano ya kuwania kufuzu kucheza kombe la mataifa huru ya Afrika mwaka 2019, timu ya taifa ya Tanzania  leo imealikwa Ikulu kwa ajili ya chakula cha mchana na Rais John Pombe Magufuli.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Gerson Msigwa ameandika “Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Oktoba, 2018 atakutana na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.”

LIVE kutoka Ujerumani Mfanyakazi mwenzie Gamba asimulia walivyomkuta amefariki

Soma na hizi

Tupia Comments