Top Stories

PICHA 10: Mastaa waliojitokeza kuuaga Mwili wa Pancho leo Lugalo

on

Leo October 12, 2018 Mastaa wamejitokeza kuaga mwili wa marehemu Pancho aliyefariki siku mbili zilizopita akiwa katika Kisiwa cha Mbudya jijini DSM. Baada ya ibada mwili umesafirishwa kuelekea nyumbani kwao Gairo kwaajili ya mazishi siku ya kesho.

PANCHO ALIVYOAGWA DSM: LAMAR, LIL OMMY, MONA GANSTAR WAMEZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments