Habari za Mastaa

Man Fongo kapatikana kafunguka ishu ya kudaiwa kufungwa jela miaka 30 (+Audio)

on

Ni headlines za mwimbaji wa muziki wa Singeli Man Fongo aliyepata trending mtandaoni baada ya kudaiwa kufungwa jela miaka 30 kwa kosa la kumpatia mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu, sasa AyoTV na millardayo.com zimempata Man Fongo je story hizi zimekaaje..?

Bonyeza PLAY hapa chini kusikia majibu ya Man Fongo.

VIDEO: MAJIBU YA PIERE JUU YA PICHA YA KIMAHABA NA AMBER LULU, NI WAPENZI..?

Soma na hizi

Tupia Comments