AyoTV

Kijana wa miaka 23 aliyeacha chuo kisa umaskini wa kwao anaingiza zaidi ya M.1 kwa mwezi

on

AyoTV na millardayo.com zinakukutanisha na kijana wa miaka 23 anayeitwa Avitusi Wimbingire aliyekuwa anasoma chuo kikuu cha Daresalaam kupitia kozi ya uwalimu na kisha baadae kucha kutokana na ugumu wa maisha wa nyumbani kwao baada ya Baba yake kufariki hivyo ikamsukuma yeye kutafuta njia nyingine za kutafuta maisha.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Kijana kuyo akisimulia.

MFAHAMU MAARIFA, KIPAJI KIPYA KILICHOTAMBULISHWA KUTOKA MANZESE MUSIC BABAY

 

Soma na hizi

Tupia Comments