AyoTV

VIDEO: ‘Hawa walimu wametufundisha hata sisi bado tunawasahau?’ -Jacqueline Msongozi

on

Kutokea Bungeni Dodoma nakusogeza karibu na Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi ambaye alisimama kuishauri serikali kuhakikisha inatoa vipaumbele kwa sekta ya elimu hususani kutatua changamoto za walimu Tanzania ambao amedai wamekuwa wakisahaulika sana licha ya kazi kubwa ambayo wamekuwa wakiifanya.

VIDEO: ‘Wananchi wanataka Bunge LIVE’ -Upendo Peneza 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments