Habari za Mastaa

Hii ndiyo picha aliyopost Jackie Cliff kwenye instagram leo January 15

on

cliff

Baada ya exclusive interview na AyoTV ambapo Juma Jux alisema kwamba Jackie Cliff yupo salama lakini sehemu alipo hata yeye haijui.

Jackie Cliff  amepost picha hiyo hapo juu kwenye account yake ya instagram ambapo account hiyo haiukua na new post tangu December 13 mwaka jana.

Caption ya picha hiyo haijasema chochote juu ya mambo yaliyosikika au mahali alipo.

cliff2

Tupia Comments