Top Stories

Jacqueline Mengi afunguka mapya “Wanazauia nisione kaburi la Mume wangu, nimechoka”

on

Leo February 22, 2020 Mke wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni za IPP Media, Jacqueline Mengi amelalamika kuzuiwa yeye na Watoto wake kutembelea kaburi la hayati Mume wake, Reginald Mengi.

 Mengi alifariki mwezi May mwaka 2019 Dubai ambapo alikuwa anapatiwa matibabu na kuzikwa Mkoani Kilimanjaro.

DAAH! MZUNGU AMVUNJA MBAVU MAGUFULI AKITAJA KERO ZA WATENDAJI “WATU HOI KICHEKO”

Soma na hizi

Tupia Comments