Top Stories

Jafo aagiza mrembo aongezewe mshahara “Haiwezekani anaendesha mtambo/mdude mlipe vizuri” (+video)

on

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Dodoma Godwin Kunambi kumuongezea mshahara Esther Nyange ambaye ni Dereva wa gari la kupakulia taka katika dampo la Jiji la Dodoma ambaye analipwa Tsh.240,000 .

“Haiwezekani Mtoto mzuri kama huyu, mrembo anaendesha mtambo kama huu mnamlipa Laki mbili na Elfu 40!, muongezeeni mshahara na leo apewe Laki mbili, kuna Wanaume wengine hata Taxi tu hawawezi kuendesha” -JAFO

“MTU WA ARUSHA KUWA M-BONGO NI BONGE LA DHAMBI” MACHALII WA CHUGGA WAMEKUJA KUFANYA MAKUBWA DAR

Soma na hizi

Tupia Comments