on air with millardayo

ON AIR: Miss Africa Tanzania 2016 kwenye Exclusive na Millard Ayo

on

Mrembo Julitha Kabette ndio amechaguliwa na taasisi ya MILLEN MAGESE kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la MISS AFRICA 2016 litalofanyika Nigeria, kwenye OnAIR with Millard Ayo.

Julitha amezungumzia ishu mbalimbali ikiwemo kuhusu Miss Africa 2016, jinsi alivyoona giza akiwa kwenye stage ya fainali ya Miss Tanzania 2016 na mengine, tazama hii video hapa chini

VIDEO: MWANZO MWISHO Fainali ya Miss Tanzania 2016 ilivyokua Mwanza tazama kwenye hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments