Habari za Mastaa

Picha za msanii Jaguar alipojichanganya na wafungwa jela.

on

jaguar1Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?
jibu lake ni NO, anajiandaa tu kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.

Unaambiwa alijichanganya kwenye jela ya ukweli kabisa na kukaa na wafungwa wanaotumikia vifungo kabisa ili kupata uhalisia wa atakachokionyesha kwenye video ambapo hata hivyo Wafungwa wa hii jela walifurahi kumuona.
jaguar3
jaguar2
jaguar4
jaguar5

Tupia Comments