Mix

Rais Magufuli ametengua uteuzi mwingine leo September 21 2016

on

Leo September 21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo.

Pamoja na kutengua uteuzi wa Prof. Hasa Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo. Aidha uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF imeelezwa utafanywa baadaye.

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, SEPTEMBER 21 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments