Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya ‘Nishike Mkono’ na Darassa time hii Wini amekuja na hii

on

Msanii Wini ambaye jina lake halikuwa maarufu kama sauti yake ambayo ilisikika kwenye wimbo wa ‘Nishike Mkono’ wa msanii Darassa, amekuja na wimbo wake mpya ambao unaitwa ‘Take Me Higher’ wimbo ambao Audio na video zimetayarishwa nchini Dubai.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

Linah Kafunguka “Napenda wanaume weusi, nikiwaona nasisimka, wamekaa kiume”

Soma na hizi

Tupia Comments