Michezo

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera alivyotoa Milioni 2.5 sababu hizi hapa (+video)

on

Ikiwa ni Mei 29, 2019 Tunayo stori kutokea kwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ambapo ametoa UERO 1000 (zaidi ya Shilingi Milioni mbili na Nusu) kwa ajili ya kusaidia vituo sita vya Watoto Yatima jijini Dar es Salaam.

Kocha Zahera ametoa fedha hizo kupitia mtangazaji Mboni Masimba kwa ajili ya kuwasaidia Watoto hao Yatima ambao wanakabiliwa na kwa ajili ya mahitaji mbalimbali katika vituo vyao.

MSIKIE KAGERE BAADA YA SIMBA SC KUKABIDHIWA UBINGWA TPL

Soma na hizi

Tupia Comments