Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jaji aamuru Giggs ashtakiwe upya
Share
Notification Show More
Latest News
UNAAMBIWA: TV zinawapunguza watoto kitaaluma
February 3, 2023
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Jaji aamuru Giggs ashtakiwe upya
Sports

Jaji aamuru Giggs ashtakiwe upya

September 7, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Ryan Giggs atashtakiwa upya kwa makosa ya kutumia nguvu nyumbani, Jaji wa Uingereza ameamua leo Jumatano baada ya mahakama kushindwa kufikia uamuzi mwezi uliopita.

Jaji Hilary Manley wa mahakama ya Manchester amepanga tarehe ya kusikiliza upya kesi hiyo kuwa Julai 31 mwakani, baada ya wanasheria kushindwa kufikia uamuzi katika kesi hiyo iliyosikilizwa kwa wiki nne.

Giggs, mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Wales mwenye miaka 48, alikana kuwa na tabia ya udhibiti na kutumia nguvu dhidi ya mpenzi wake wa zamani, Kate Greville pamoia na kumtukana yeye na mdogo wake wa kike.

You Might Also Like

Mason Greenwood afutiwa mashtaka

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

TAGGED: michezo
Pascal Mwakyoma TZA September 7, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article ‘Serikali kuanzisha ofisi maalum ya mradi wa LNG, mazungumzo kukamilika Disemba’- Waziri Makamba
Next Article TFS waja na mashindano ya magari ‘tunatangaza utalii wa misitu’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

UNAAMBIWA: TV zinawapunguza watoto kitaaluma
Top Stories February 3, 2023
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
Top Stories February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023

February 3, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?