Mix

Marudio ya uchaguzi mkuu Zanzibar ni keshokutwa tu, Jaji mkuu wa Zanzibar kaongea haya

on

Ikiwa siku bado zinahesabika kuelekea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar, March 16 jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othman amefunguka na kueleza mambo kadhaa kuelekea uchaguzi huo ambao unategemewa kufanyika March 20 2016.

“Sisi kama mahakama ya Zanzibar tupo vizuri, kiukweli katika kazi yoyote ile hakukosi changamoto, licha ya kuwa kiutendaji tunaendelea vizuri, kuhusu suala la uchaguzi mtu kushiriki au kutoshiriki hilo ni swala lake mwenyewe binafsi huwezi kumlazimisha” >>> Jaji Omary

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments