AyoTV

VIDEO: ‘Sitaki unafiki, muswada wa habari ukija nitausaini bila kuchelewa’ – JPM

on

Wakati leo Wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo ikiwasilisha bungeni muswada wa sheria ya huduma za habari 2016 na baada ya wizara hiyo kuwasilisha, saa chache kabla Rais Magufuli aliuzungumzia kwenye maswali yake kutoka kwa Waandishi wa habari.

>>>’Kuniambia mimi sasa hivi ya bunge utakuwa unanionea tuwaache wafanye kazi yao, sitaki kuwa mnafiki siku utakapoletwa nitausaini siku hiyohiyo‘ zaidi mtazame Rais Magufuli kwenye hii video hapa chini

ULIKOSA RAIS MAGUFFULI ALIVYOTUMIA DAKIKA 16 KUTOA TAHTMINI YA UONGOZI WAKE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments