Top Stories

Jamaa afariki Dunia baada ya kubanwa na Polisi, raia wacharuka

on

NI tukio ambalo limechukua vichwa vya habari nchini Marekani likimuonesha Polisi akimkaba kwa mguu mmarekani mweusi aitwae George floyd kupelekea kifo chake.Polisi waliohusika na tukio tayari imeripotiwa kuwa wamesimamishwa kazi, sasa miongoni mwa matukio nchini humo ni vurugu za wazawa kwenye maeneo mbalimbali huku wengine wakiandamana na mabango wakipiga ubaguzi wa kijinsia.

SHEKH KIPOZEO AFUNGUKA ‘MWEPESI WA ZINAA NI MWANAMKE, MWEPESI WA KUIBA NI MWANAUME

Soma na hizi

Tupia Comments