Top Stories

Jamaa ajifanya kigogo TAKUKURU “kadanganya atawapa ajira” (+video)

on

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda mkazi wa Dodoma kwa tuhuma za kujifanya afisa wa taasisi hiyo kinyume cha kifungu namba 36 cha sheria ya kuzuia ya kuzuia na kupambambana na rushwa.

BREAKING: MKUU WA WILAYA AFARIKI, JAFO AZUNGUMZA “SUKARI ILIPANDA SANA HAIKUSHUKA”

Soma na hizi

Tupia Comments