Top Stories

Jamaa aliekatwa sikio akipambana na Mfungwa aliesamehewa na Rais Magufuli “Nimeokoa Mil. 6” (+video)

on

Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na majambazi wanne akiweno Tile ambaye ni mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli ambapo walimkata sikio pamoja na kuchukua kiasi cha Milion 6.

KABUDI AFUNGUKA MAZITO IKULU “NISAMEHE, NILIANDIKA BARUA YA KUJIUZULU, AMENIPORA KAICHANA”

Soma na hizi

Tupia Comments