Mix

Jamaa analipwa zaidi ya Milioni 12 kwa siku kumshikia mwamvuli (Video+)

on

Ni Ayo TV ENT na muda huu nakupeleka mamtoni kwa Biden ambapo staa Quavo anaetokea katika kundi la Migos time hii amechukua Vichwa vya Habari mitandaoni baada ya kupost picha kupitia mtandao wa Instagram ikimuonesha akiwa ameshikiwa Mwamvuli na jamaa anaedai kuwa anamlipa Dola 5000 za kimarekani.

Star huyo anamlipa jamaa huyo dola 5000 ambazo ni sawa na Takribani Milioni 12 za kitanzania kwa ajili ya Kumshikia Mwamvuli pamoja na kumpepea ili asihisi Joto.

Quavo amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika kuwa Anamlipa msaidizi wake huyo Pesa hizo kwa Siku moja

RIHANNA ATANGAZWA NDIE MSANII WA KIKE TAJIRI DUNIANI AKIWA NA KIASI HIKI CHA PES

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments