Top Stories

Jamaa anazunguka na kondoo kama mbwa “mimi mchawi, anapanda bajaji, mama kafa”(+video)

on

Kutokea Mkoani Mbeya leo July 11, 2020 nakusogezea stori ya jamaa ambae anazunguka na kondoo kama baadhi ya Watu ambvyo huwa wanazunguka na mbwa mtaani.

Huyu anaitwa Titus Vilama ambapo anasema kilichosababisha kondoo huyo kumfuata Titus ni baada ya mama yake kufa.

“HUYU TUMEMFUKUZA MOJA KWA MOJA” CCM YAMFUKUZIA MBALI MWANACHAMA WAKE

Soma na hizi

Tupia Comments