Top Stories

Jamaa awachoma Vigogo kwa RC Mwanri “kidomodomo wanakudumbukiza hawakupi Milioni” (+video)

on

Baadhi ya Wakulima wa pamba wa Chama cha Msingi cha Ushirika (AMCOS) ya Mpilipili wameiomba Serikali ya Mkoa wa Tabora kuwachukulia hatua Viongozi wa Chama chao kwa tuhuma za kulipa fedha zao bila kufuata utaratibu na wakati mwingine kuwapa fedha pungufu za zile anazopaswa kulipwa mkulima.

Kija Kilasa alisema wakulima wamekuwa wakilipwa fedha na Mjumbe wa Bodi ya AMCOS Mtaani na akiwa anadai shilingi Milioni 1 analipwa laki nane bila ya kupata maelezo kwanini amekatwa fedha zake.

MAGUFULI “KWA TAARIFA TU NDEGE WALIYOKAMATA WAMEIACHIA”

Soma na hizi

Tupia Comments