Top Stories

WARAKA WA MAKAMBA: “Nisikilize Ruge, sijalipa deni, nipe ishara”

on

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January ameandika waraka kumhusu Rugemalira Mutahaba ambaye amefariki February 26, 2019 nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Waraka mzima aliouandika Waziri Makamba upo katika video hii hapa chini yenye dakika tano bonyeza PLAY kuusikiliza.

HISTORIA YA RUGE MUTAHABA, KUZALIWA, MASOMO HADI KUWA MKOMBOZI WA VIJANA

Soma na hizi

Tupia Comments