Top Stories

Jambazi sugu ‘pima’ “Mama mtu mzima” (+video)

on

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP Martin Ottieno amesema wanawashikilia ndugu wanne ambao ni Yoramu Hamis (36), Abel Ngoma(45), Haresi Yoranm (63), Asha Hamis(25) wote wakidaiwa kushirikiana na mtuhumiwa wa ujambazi sugu Ally Hamis kumiliki bunduki AK17 kinyume cha sheria ambaye ansakwa na Polisi.

MAJAMBAZI WANNE WAUAWA ”WANANCHI WAKATAMBUE MAITI, UKIONA NDUGU YAKO HUMUONI”

Soma na hizi

Tupia Comments