social network

AUDIO: Majibu ya Waziri Mwijage kuhusu kinachosemwa kuitaja Clouds

on

Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, kuna moja ya ujumbe umeonekana ukisambaa kupitia mitanda ukionesha kuwa  kwa kutumia jina la Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage.

Ujumbe ulisomeka ‘Kilichotokea kwa Clouds media ni kitendo cha kinyama na wala si uungwana kabisa tunajenga nchi ya viwanda si ya kutishana”. millardayo.com na Ayo TV inaye Waziri Mwijage mwenyewe kwenye exclusive interview

VIDEO: RC Kagera katoa saa 72 kwa wafugaji Kagera kutekeleza agizo lake 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments