Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Ajali

PICHA13: Jamaa kaamua kupanda juu ya mnara wa simu na kujirusha chini Mwanza

on

Kwa siku za hivi karibuni Mwanza imekuwa na matukio ya kusikitisha,  leo tena Mwanza imeingia kwenye Headline ya mtu kupanda juu ya Mnara wa Mtandao wa simu na kujirusha chini eneo la Makongoro  jirani na Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, tukio hili limedumu ndani ya masaa matatu.

Bahati Mussa (30–35) inasemekana ana matatizo ya akili na hii ni mara yake ya tatu kutishia kujirusha juu ya Mnara. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza limefanikiwa kumuokoa baada ya kujirusha chini na kupoteza fahamu, amepelekwa Hospitali ya Mkoa ya Sekou Toure Mwanza kwa matibabu.

Image00005

Image00006

Image00018

Image00014

Image00001

Image00004

Image00011

Hapa ni baada ya kujirusha kutoka juu ya mnara.

Image00012

Image00016

Image00015

Image00003

Image00002

ULIKOSA HII YA TRAFIKI MWENYE MBWEMBWE DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments