Habari za Mastaa

Suprise walioifanya Ommy Dimpoz na Idris Sultan kwa Wanafunzi

on

.

Ommy Dimpoz.

Mshindi wa BBA, Idris Sultan na Ommy Dimpoz ni miongoni mwa mastaa waliosoma katika shule ya sekondari Mbezi iliyopo Kimara Dar es Salaam, ambapo leo Jan 26  waliwasuprise Wanafunzi wa shule hiyo kwa kuzungumza nao machache juu ya Elimu pamoja na kushare nao picha za kumbukumbu.

.

Idris Sultan  akiongea na Wanafunzi.

.

Idris Sultan akisalimia na Wanafunzi .

.

Ommy Dimpoz na Idris wakipiga picha ya Selfie.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Mtu wako wa nguvu nikifanya mahojiano.

.

.

.

.

.

.

.

Nikiongea machache na Wanafunzi.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments