Mix

Picha 15: Mke wa Rais Magufuli alivyoaga shule aliyoifundisha kabla JPM hajawa Rais

on

Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli  Janeth Magufuli alifunga safari na kuelekea katika shule ya msingi Mbuyuni, Osterbay Dar es salaam, ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma kuanzia darasa la kwanza na baadae mwaka 1995 kurudi tena kufundisha hapohapo hadi ilipofika time ya kuwa First Lady.

Hii ni shule pia aliyokua anafundisha Mama Salma Kikwete, mke wa Rais wa Tanzania kwenye awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete ambapo baada ya JK kuwa President ilibidi Mama Salma aage kama hivi alivyoaga Mama Janeth Magufuli.

AW1A1930

.

AW1A1959

Janeth Magufuli

AW1A2002

Mama Janeth Magufuli akikabidhi zawadi kwa wanafunzi

AW1A2027

Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Mama Janeth Magufuli

AW1A2031

.

AW1A2067

Baadhi ya Walimu katika picha ya kumbukumbu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda

AW1A2080

AW1A2090

.

AW1A2106

.

AW1A2113

.

AW1A2119

AW1A2120

AW1A2121

Janeth Magufuli akitokwa machozi wakati wa kuagana na wanafunzi wake

AW1A2128

.

AW1A2133

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments