Video Mpya

AudioMPYA: TID amezileta kwako ngoma 3 zilizopo kwenye EP yake

By

on

Msanii mkongwe kutokea kwenye Industry ya Bongo Fleva Top In Dar a.k.a TID amekuja rasmi na Extended Playlist -EP yake yenye jumla ya ngoma 3 ambapo ndani ya ngoma hizo TID amepata nafasi ya kumshirikisha Naiboi kwenye ngoma yake ya kwanza ‘Sijawahi’, ngoma ya pili ‘Jealous’ amemshirikisha Mizzo na ngoma ya mwisho ‘Mola’ amesimama mwenyewe.

Nimekuwekea ngoma hizo hapa chini hivyo fanya kubonyeza PLAY ili kusikiliza ngoma hizo.

“MAADILI YA TANZANIA SIO KUTEMBEA UCHI” TAMKO LA BASATA KWA WASIMAMIZI WA MASHINDANO.

 

Soma na hizi

Tupia Comments