Mix

Takwimu ya maoni ya Katiba, fahamu kuhusu serikali 3, Urais wa Jamuhuri na mengine hapa

on

katibaKupitia ukurasa wake wa Facebook Mh. January Makamba amepost kuhusu sehemu ya maoni ambayo amedai ni kwa mujibu wa kitabu cha takwimu za ukusanyaji maoni ya katiba.

jKitabu hicho cha takwimu kimetolewa na Jaji Joseph Warioba ambae ni Mwenyekiti wa Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya.

JOSEPH-SINDE-WARIOBA-TUME-YA-KATIBA-TANZANIA

Screen Shot 2014-02-21 at 11.44.38 AM Screen Shot 2014-02-21 at 11.44.52 AM

 

Tupia Comments