Habari za Mastaa

PSG kupandisha dau hadi pound million 40 ili kumpata Adnan Januzaj

on

januPSG wamepania kupata sign ya mchezaji mwenye umri wa miaka mdogo lakini anaonekana kuwa na future nzuri kwenye soka Adnan Januzaj.

Hii inaonekana kuwa taarifa mbaya sana kwa mashabiki wa United ambapo club yao hali yake ni mbaya sana hivi sasa na bado PSG ambao wanapesa nyingi wanaendelea kumtaka mchezaji huyo.

Jaribio la kwanza lilishindikana ambapo PSG walimtaka Januzaj kwenye dirisha dogo kitu ambacho kilionekana kuwa kisichowezekana kutokana na hali ya Manchester kwa sasa.

Taarifa zinasema kwamba PSG wanapanga kutoa dau nono la pound million 40 muda wa usajili ukifika baada ya jaribio la kwanza kushindikana.

Tupia Comments