Mix

Mtanzania katajwa katika list ya wajasiriamali chini ya miaka 30 Afrika wanaotarajiwa kuwa mabilionea

on

Jarida maarufu la Forbes Afrika mwishoni mwa wiki hii limeiachia list ya wajasiriamali 30 wanaotarajiwa kuwa wakubwa kutoka bara la Afrika katika sekta zote kwa mwaka 2016, hawa ni mabilionea wa kesho.

Orodha ina wajasiriamali kutoka barani kote Afrika, kutoka Kenya, Nigeria, Madagascar, Tanzania, Benini, Gambia, Zimbabwe na nchi zingine za Afrika.

Mtanzania ambaye ni Miss Universe 2010, Hellen Dause  jina lake limetajwa  kuwa miongoni mwa wajasiriamali hao walio chini ya umri wa miaka 30 kwa mwaka 2016.

forbes

Mhaririri Mtendaji wa Forbes Afrika, Criss Bishop amesema…….>>> ‘hii orodha ni muhimu sana Afrika kwa kijana yeyote  kwa kuwa ina ushawishi wa kutosha wa kuanzisha biashara yake’.

BAADA YA SOUTH AFRICA KUPLAY MUZIKI WA NYUMBANI KWA 90%, DIAMOND PLATNUMZ AMEYAZUNGUMZA HAYA…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments