Top Stories

Mbunge Halima Mdee aombewa na Askofu hospitalini baada ya kufanyiwa Upasuaji (+video)

on

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Halima Mdee ambaye ni mbunge wa Kawe anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan baada ya kufanyiwa upasuaji siku ya Ijumaa, Juni 7, 2019 akiwa amelazwa hospitalini hapo tangu Alhamis, wiki hii.

Watu mbalimbali wamefika hospitalini hapo kumjulia hali ikiwemo viongozi wa dini ambao wamemfanyia maombi ili afya yake izidi kuimarika.

ALICHOKISEMA ESTER BULAYA KUHUSU HALIMA MDEE KUFANYIWA UPASUAJI

Soma na hizi

Tupia Comments