Top Stories

Nchi 10 Afrika zinazoongoza kwa uvutaji wa bangi, Tanzania yatajwa (+Audio)

on

Kwa mujibu wa mtandao wa New Frontier Data umetaja Mataifa 10 ya Afrika yanayo ongoza kwa idadi kubwa ya watu wanaotumia bangi, fahamu kuwa Tanzania imetajwa kwenye nafasi ya 5 ikiwa inaongoza nchi za Afrika Mashariki kwa idadi kubwa ya watu waliojiingiza kwenye matumizi ya bangi.

Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu Top 10 ya mataifa hayo barani Afrika.

VIDEO: KWA MARA YA KWANZA JACQUELINE AANDIKA KUMHUSU MUMEWE DR. MENGI

Soma na hizi

Tupia Comments