Usiku wa kuamkia leo kulikua na michezo ya Ligi ya Kikapu ya Marekani NBA ambapo kati ya mechi zilizochezwa kulikua na mchezo kati ya La Clippers vs La Lakers na mastaa walioudhulia mchezo huo ni Jay Z, John Legend na 2 Chainz.
Habari za Mastaa
Jay Z na Mastaa wengine kwenye game ya NBA (+picha)
on
