AyoTV

VIDEO: Profesa J bungeni kuhusu milioni 400 anazodaiwa Diamond, Roma na Nay wa Mitego

on

Hii ni wakati Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwenye bunge la Bajeti linaloendelea.

MAGAZETI: Waziri atajwa Vyeti Feki, Mmiliki shule Lucky Vicent akamatwa 

Soma na hizi

Tupia Comments