Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rapper Jay Z ana mtoto mwingine mbali na Blue Ivy wa Beyonce?
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Rapper Jay Z ana mtoto mwingine mbali na Blue Ivy wa Beyonce?
Habari za Mastaa

Rapper Jay Z ana mtoto mwingine mbali na Blue Ivy wa Beyonce?

May 9, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza Amplifaya ya Clouds FM Trending worldwide leo May 9 2016 kwa sababu ya kukosa time, basi usijali mtu wangu nimekusogezea moja kati ya stori zilizo make headlines leo…

Rapper Jay Z ameingia tena kwenye headlines baada ya kusemekana kuwa na mtoto wa nje ya ndoa. Mama mzazi wa  kijana “Rymir Satterthwaite“mwenye umri wa miaka 22 anasema Jay Z alimpatia ujauzito zaidi ya miaka 20 iliyopita na anachohitaji ni mwanae kukutana na baba yake mzazi ambaye ni Jay Z.jay z son

jay Z

jay zz

Mama wa kijana huyo anasema hii sio mara ya kwanza yeye kuongelea swala hili kwani alishawahi kufungua kesi mwaka 2010 na kumtaka Jay Z afanye vipimo vya DNA ili kuhakikisha kuwa yule ni mwanae bila mafanikio yoyote.

Video ambayo  Rymir anaongea kuhusu Jay Z  na jitihada za kumtafuta.

KAMA HUKUSIKILIZA TRENDING WORLDWIDE YA AMPILFAYA 

ULIKOSA KUMTAZAMA KAYUMBA AKIFANYA VYAKE CLUB BILICANAS? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

TAGGED: trendingworldwide
Millard Ayo May 9, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Ili upate kazi viwanda vya Mtwara lazima utoe rushwa’ -Mbunge Maftaha Nachuma
Next Article VIDEO: Gumzo ni mabasi ya haraka Dar es salaam, nauli ndio hizi zimetangazwa na maelekezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?